Sunday, February 14, 2010

VIDONDA VYA TUMBO VINATIBIKA


RAHABU ULCERS CENTRE IPO BUGURUNI PETROL STATION (SHELLY), JENGO LA KIOMBOI KISIRIRI PHARMACY, GHOROFA YA KWANZA JENGO LINATAZAMANA NA SHULE YA MSINGI BUGURUNI
 
Rahabu Ulcels Clinic Centre ni ya kwanza duniani kugundua dawa halisi ya kutibu vidonda vya tumbo iitwayo Fiterawa na kliniki imesajiliwa na Msajili wa Makampuni Tanzania kwa hati namba 159505.
Dawa imethibitishwa na Chuo Kikuu cha Muhimbili cha Afya na Sayansi Kitengo cha Tiba Asili kwa hati yenye kumbukumbu namba ITM/CB/II/12-NOV.08. Pia imethibitishwa na Mkemia Mkuu wa Serikali kuwa haina madhara kwa mtumiaji kwa kumbu. Na. 341/Vol./XII.
Dawa hii tangu kuzinduliwa kwake mwaka 1998 imetibu na kuponya zaidi ya wagonjwa 500,000 hadi hivi sasa wa vidonda vya tumbo kutoka ndani na nje ya nchi.
NITAJUAJE KAMA NINA VIDONDA VYA TUMBO?
1). Njia iliyo sahihi na nzuri zaidi ni kupima kwa kutumia daktari wa kutumia kipimo kiitwacho Barium Meal X-Ray (Endoscopy).
DALILI ZA UGONJWA WA TUMBO
II). Dalili zitakazokufanya ujihisi vidonda vya tumbo ni kuchoka choka sana bila sababu maalum, mgongo kuuma (kiuno), kupungukiwa au kupoteza kabisa nguvu za kijinsia, kizunguzungu, kukosa usingizi, usingizi wa mara kwa mara. Maumivu makala sehemu ya mwili, kifua kwa ndani kana kwamba unachomwa na kitu cha moto au chenye ncha kali.
Maumivu hayo wakati mwingine hutokeza mgongoni na huchoma kama sindano yenye sumu na kuacha maumivu makali (Heart burn). Dalili zingine ni kichefuchefu, kiungulia, tumbo kujaa gesi, tumbo kuwaka moto, maumivu makali sehemu kilipo kidonda, kukosa choo, na kupata kwa shida tena kikiwa kigumu na chenye kukatika kma mbuzi (Constipation) shida ya choo.
Kutapika nyongo, kutapika damu au kuharisha, sehemu za mwili kupata ganzi n.k. Pia dalili zingine ni kukosa hamu ya kula, kula kupita kiasi, kusahahu sahau na hasira. Kwa kweli ni vigumu kueleza maumivu yote apatayo mgonjwa wa vidonda vya umbo hasa kwa mgonjwa sugu (Chronic Desease) kwani hakuna hata kiungo kimoja mwilini atakachokuambia kizima.
1. MANDALIZI YA DAWA
Koroga dawa hadi ichanganyike vizuri, yaani usibaki mgando wowote cini ya chombo. Kabla ya kutumia dawa hakikisha umekula, kisha subiri baada ya dakika 45 baada ya ula ndio unywe dawa.
2. MATUMIZI
*Kunywa glasi mbilio (tumia glasi yenye ujazo wa Ml 350) kwa kutwa glasi 2x2 kwa muda wa siku 3-6.
*Kisha acha kunywa kwa siku saba na rudia tena kunywa mfululizo kwa siku 3-6.
Baada ya hapo acha kunywa kwa siku 30 yani mwezi mzima, kisha rudia tena kunywa kwa siku 3-6.
Kisha utaendelea na masharti ya chakula kwa miezi miwili (2) yaano siku 60. Baada ya hapo utaruhusiwa kula aina zote za vyakula. Pia baada ya uo muda kapime katika hospitali yoyote kama unataka kuthibitisha uponaji kwani utakuwa umepona kabisa.
MASHARTI YA VYAKULA WAKATI UNATUMIA DAWA
i). Vyakula: Usile maharage au nafaka yoyote jami ya und, wali, nyanya, pilipili, ndimu, mchicha, isamvu, majani ya kunde, ndizi aina zote, mayai, chipsi, mihoo, chapati.
ii). Matunda: Usile maembe, macungwa, mapesheni, machenza na matunda yenye acid au yanayozalisha gesi.
iii). Usinywe pombe aina oyote ile wala soda yoyote, Pia epuka kutumia vinywaji baridi sana, mtindi, uji wa ulezi, majanin ya chai, kahawa, magadi.
iv). Usitumnie dawa zenye Acid/Sulphar wala Caffeine.
v). Usivute sigara wala kutumia ugoro, kuberi, tumbaku.
4.VYAKULA VINAVYOFAA KUTUMIWA
ASUBUHI: Chai ya sopya au majani shamba (mchaichai).
VITAFUNIO: Mkate laini, maandazi laini na vitumbua.
MCHANA/JIONI: Ugali, vizai mviringo vya kuchemsha, tambi, chipsi kavu.
MBOGA: Nyama aina zote ziliwazo, samaki aina zote waliwao isipokuwa dagaa na mboga za majani zisizo na acid kama vile kabeji majani ya maboga, bamia.
MATUNDA: Tango, papai, tikitimaji.
VINYWAJI: Maji, maziwa juisi ya karoti.

ANGALIZO
WAGONJWA wenye Duonel Ulcer tu wasitumie vyakula vya kukangwa wala maziwa ya aina yoyote hadi watakapomaliza dozi.
NB: Mgonjwa asikae na njaa kabisa katika Kipindi chote akiwa katika dozi, wala asile vyakula vyote ulivyozuiliwa kutumia ambavyo kitaalam vimeonekana vina zalisha Acid na gesi kwani kwa kula vyakula hivyo husababisha ucheleweshaji au kuzuia uponyaji wa vidonda.
5. WATU WANAOISHI NA HIV
Wenye vidonda vya tumbo ambao wamethibitika kuwa wanaishi na virusi vya UKIMWI, wanatakiwa kumweleza ukweli Daktari ili wapewe dawa tofauti na inaweza kuwasaidia kutokna na tatizo lao.
Hata kama watakuwa katika hali mbaya ya kuharisha na kutapika mara baada ya kutumia dawa, hufunga kuharisha mara moja na afya yake hubadilika. Pia kama mgonjwa hakuwa na hamu ya kula atapata hamu ya kula pia afya yake itabadilika ndani ya uma moja tu yani siku 7 baada kuanza kutumia dawa.
Afya yake itabadilika kwa kiwango kikubwa cha kushangaza na tatizo la vidomda litakwisha kabisa.
YANAYOWEZA KUJITOKEZA KIPINDI CHA DOZI
DAWA aina madhara kwa mtumiaji, isipokuwa kama tumbo lako ni chafu dalili hizi zawea kuonekana pindi utumiapo dawa kwa mara ya kwanza. Dalili hizo ni tumbo kuvurugika, kuja gesi, kujamba kukifuatiwa na kuharisha. Pia waweza kuchoka au kuumwa kichwa kwa mbali, kutoka jasho na kupata choo kidogo mra kwa mara.
Pia watu 5 kati ya 100 (5/100) hutapika mara mara ya kwanza wanapotumia dawa. Hiyo usihofu unapotokewa na hali hiyo kwani hizo ni dalili nzuri kuonyesha dawa zinafanyakazi vizuri haa kwa mgonjwa mwenye tumbo chafu.
NITAPONA BAADA YA MUDA GANI?
KWA upendo wa Mungu uponyaji huanza mara moja baada ya kuanza kutumia dawa kwa mara ya kwanza. Hii ina maana kuwa jioni ya siku ya kwanza tangu ulipoitumia utaanza kujisikia vizuri na huwezi kuamka kesho yake ukiwa na maumivu  makali ya vidonda vya tumbo.
 Kwa wale ambao watachelewa sana baada ya siku mbili au tatu tangu kuanza kutumia dawa, basi baada ya siku mbili au tatu tangu kuanza kutumia dawa, huwa sio rahisi kwao kuendelea kuhisi maumivu ya vidonda vya tumbo kama ilivyokuwa awali.
Pia wale ambao ni sugu na vidonda vyao vilikuwa na magamba au uchafu, watahisi maumivu makali zaidi wakati uchafu/magamba yanapotoka katika vidonda. Mgonjwa Mwenye hali hiyo anatakiwa kurudi kwa daktari kupata dawa nyingine.
JINSI YA KUHIFADHI DAWA
Hifadhi dawa mahali penye baridi yaani kwenye friji kwani dawa ikikaa katika friji kwani dawa ikikaa sehemu isiyo na baridi uharibika baada ya sa kadhaa.
Kumbuka kumshukuru Mungu kabla na bada ya kutumia dawa na kupata uponyaji. Elewa kuwa mimi ni chombo tu, mwenye vipuri vya mwili wako ni Mungu pekee.
MAWASILIANO ZAIDI
Piga simu na. 0784 338 513
                        0754 411 119
                       0786 618 080
Email:fiterawa@gmail.com