Sunday, February 14, 2010

VIDONDA VYA TUMBO VINATIBIKA


RAHABU ULCERS CENTRE IPO BUGURUNI PETROL STATION (SHELLY), JENGO LA KIOMBOI KISIRIRI PHARMACY, GHOROFA YA KWANZA JENGO LINATAZAMANA NA SHULE YA MSINGI BUGURUNI
 
Rahabu Ulcels Clinic Centre ni ya kwanza duniani kugundua dawa halisi ya kutibu vidonda vya tumbo iitwayo Fiterawa na kliniki imesajiliwa na Msajili wa Makampuni Tanzania kwa hati namba 159505.
Dawa imethibitishwa na Chuo Kikuu cha Muhimbili cha Afya na Sayansi Kitengo cha Tiba Asili kwa hati yenye kumbukumbu namba ITM/CB/II/12-NOV.08. Pia imethibitishwa na Mkemia Mkuu wa Serikali kuwa haina madhara kwa mtumiaji kwa kumbu. Na. 341/Vol./XII.
Dawa hii tangu kuzinduliwa kwake mwaka 1998 imetibu na kuponya zaidi ya wagonjwa 500,000 hadi hivi sasa wa vidonda vya tumbo kutoka ndani na nje ya nchi.
NITAJUAJE KAMA NINA VIDONDA VYA TUMBO?
1). Njia iliyo sahihi na nzuri zaidi ni kupima kwa kutumia daktari wa kutumia kipimo kiitwacho Barium Meal X-Ray (Endoscopy).
DALILI ZA UGONJWA WA TUMBO
II). Dalili zitakazokufanya ujihisi vidonda vya tumbo ni kuchoka choka sana bila sababu maalum, mgongo kuuma (kiuno), kupungukiwa au kupoteza kabisa nguvu za kijinsia, kizunguzungu, kukosa usingizi, usingizi wa mara kwa mara. Maumivu makala sehemu ya mwili, kifua kwa ndani kana kwamba unachomwa na kitu cha moto au chenye ncha kali.
Maumivu hayo wakati mwingine hutokeza mgongoni na huchoma kama sindano yenye sumu na kuacha maumivu makali (Heart burn). Dalili zingine ni kichefuchefu, kiungulia, tumbo kujaa gesi, tumbo kuwaka moto, maumivu makali sehemu kilipo kidonda, kukosa choo, na kupata kwa shida tena kikiwa kigumu na chenye kukatika kma mbuzi (Constipation) shida ya choo.
Kutapika nyongo, kutapika damu au kuharisha, sehemu za mwili kupata ganzi n.k. Pia dalili zingine ni kukosa hamu ya kula, kula kupita kiasi, kusahahu sahau na hasira. Kwa kweli ni vigumu kueleza maumivu yote apatayo mgonjwa wa vidonda vya umbo hasa kwa mgonjwa sugu (Chronic Desease) kwani hakuna hata kiungo kimoja mwilini atakachokuambia kizima.
1. MANDALIZI YA DAWA
Koroga dawa hadi ichanganyike vizuri, yaani usibaki mgando wowote cini ya chombo. Kabla ya kutumia dawa hakikisha umekula, kisha subiri baada ya dakika 45 baada ya ula ndio unywe dawa.
2. MATUMIZI
*Kunywa glasi mbilio (tumia glasi yenye ujazo wa Ml 350) kwa kutwa glasi 2x2 kwa muda wa siku 3-6.
*Kisha acha kunywa kwa siku saba na rudia tena kunywa mfululizo kwa siku 3-6.
Baada ya hapo acha kunywa kwa siku 30 yani mwezi mzima, kisha rudia tena kunywa kwa siku 3-6.
Kisha utaendelea na masharti ya chakula kwa miezi miwili (2) yaano siku 60. Baada ya hapo utaruhusiwa kula aina zote za vyakula. Pia baada ya uo muda kapime katika hospitali yoyote kama unataka kuthibitisha uponaji kwani utakuwa umepona kabisa.
MASHARTI YA VYAKULA WAKATI UNATUMIA DAWA
i). Vyakula: Usile maharage au nafaka yoyote jami ya und, wali, nyanya, pilipili, ndimu, mchicha, isamvu, majani ya kunde, ndizi aina zote, mayai, chipsi, mihoo, chapati.
ii). Matunda: Usile maembe, macungwa, mapesheni, machenza na matunda yenye acid au yanayozalisha gesi.
iii). Usinywe pombe aina oyote ile wala soda yoyote, Pia epuka kutumia vinywaji baridi sana, mtindi, uji wa ulezi, majanin ya chai, kahawa, magadi.
iv). Usitumnie dawa zenye Acid/Sulphar wala Caffeine.
v). Usivute sigara wala kutumia ugoro, kuberi, tumbaku.
4.VYAKULA VINAVYOFAA KUTUMIWA
ASUBUHI: Chai ya sopya au majani shamba (mchaichai).
VITAFUNIO: Mkate laini, maandazi laini na vitumbua.
MCHANA/JIONI: Ugali, vizai mviringo vya kuchemsha, tambi, chipsi kavu.
MBOGA: Nyama aina zote ziliwazo, samaki aina zote waliwao isipokuwa dagaa na mboga za majani zisizo na acid kama vile kabeji majani ya maboga, bamia.
MATUNDA: Tango, papai, tikitimaji.
VINYWAJI: Maji, maziwa juisi ya karoti.

ANGALIZO
WAGONJWA wenye Duonel Ulcer tu wasitumie vyakula vya kukangwa wala maziwa ya aina yoyote hadi watakapomaliza dozi.
NB: Mgonjwa asikae na njaa kabisa katika Kipindi chote akiwa katika dozi, wala asile vyakula vyote ulivyozuiliwa kutumia ambavyo kitaalam vimeonekana vina zalisha Acid na gesi kwani kwa kula vyakula hivyo husababisha ucheleweshaji au kuzuia uponyaji wa vidonda.
5. WATU WANAOISHI NA HIV
Wenye vidonda vya tumbo ambao wamethibitika kuwa wanaishi na virusi vya UKIMWI, wanatakiwa kumweleza ukweli Daktari ili wapewe dawa tofauti na inaweza kuwasaidia kutokna na tatizo lao.
Hata kama watakuwa katika hali mbaya ya kuharisha na kutapika mara baada ya kutumia dawa, hufunga kuharisha mara moja na afya yake hubadilika. Pia kama mgonjwa hakuwa na hamu ya kula atapata hamu ya kula pia afya yake itabadilika ndani ya uma moja tu yani siku 7 baada kuanza kutumia dawa.
Afya yake itabadilika kwa kiwango kikubwa cha kushangaza na tatizo la vidomda litakwisha kabisa.
YANAYOWEZA KUJITOKEZA KIPINDI CHA DOZI
DAWA aina madhara kwa mtumiaji, isipokuwa kama tumbo lako ni chafu dalili hizi zawea kuonekana pindi utumiapo dawa kwa mara ya kwanza. Dalili hizo ni tumbo kuvurugika, kuja gesi, kujamba kukifuatiwa na kuharisha. Pia waweza kuchoka au kuumwa kichwa kwa mbali, kutoka jasho na kupata choo kidogo mra kwa mara.
Pia watu 5 kati ya 100 (5/100) hutapika mara mara ya kwanza wanapotumia dawa. Hiyo usihofu unapotokewa na hali hiyo kwani hizo ni dalili nzuri kuonyesha dawa zinafanyakazi vizuri haa kwa mgonjwa mwenye tumbo chafu.
NITAPONA BAADA YA MUDA GANI?
KWA upendo wa Mungu uponyaji huanza mara moja baada ya kuanza kutumia dawa kwa mara ya kwanza. Hii ina maana kuwa jioni ya siku ya kwanza tangu ulipoitumia utaanza kujisikia vizuri na huwezi kuamka kesho yake ukiwa na maumivu  makali ya vidonda vya tumbo.
 Kwa wale ambao watachelewa sana baada ya siku mbili au tatu tangu kuanza kutumia dawa, basi baada ya siku mbili au tatu tangu kuanza kutumia dawa, huwa sio rahisi kwao kuendelea kuhisi maumivu ya vidonda vya tumbo kama ilivyokuwa awali.
Pia wale ambao ni sugu na vidonda vyao vilikuwa na magamba au uchafu, watahisi maumivu makali zaidi wakati uchafu/magamba yanapotoka katika vidonda. Mgonjwa Mwenye hali hiyo anatakiwa kurudi kwa daktari kupata dawa nyingine.
JINSI YA KUHIFADHI DAWA
Hifadhi dawa mahali penye baridi yaani kwenye friji kwani dawa ikikaa katika friji kwani dawa ikikaa sehemu isiyo na baridi uharibika baada ya sa kadhaa.
Kumbuka kumshukuru Mungu kabla na bada ya kutumia dawa na kupata uponyaji. Elewa kuwa mimi ni chombo tu, mwenye vipuri vya mwili wako ni Mungu pekee.
MAWASILIANO ZAIDI
Piga simu na. 0784 338 513
                        0754 411 119
                       0786 618 080
Email:fiterawa@gmail.com

21 comments:

  1. Pole na majukumu Dk. Rahabu, tunashukuru kwa kuona webmail yako, ni vipi tutaweza kupata huduma zako sisi wa mikoani? wengi tuna tatizo hilo lakini hatujui pa kuweza kupatia msaada-Victoria Rubein wa duka la vitabu la KKKT Iringa.

    ReplyDelete
  2. Nimeona ushauri wako na jinsi gani unatibu ugonjwa wa vidonda vya tumbo, vipi kama nisipopata hicho kipimo ulichosema kwani dalili hazitoshi kunifanya nijue kuwa ni huo ugonjwa kwani naona umezielezea vizuri au lazima hiyo X-Ray?

    ReplyDelete
  3. Pole na majukumu, unaweza kunisaidia jinsi ya kupata dawa za ugonjwa huo? nateseka, nipo Kilwa Miteja mkoani, Lindi

    ReplyDelete
  4. dada Rahabu chipsi imejitokeza pande zote, Yaani kwenye vyakula vinavyofaa kutumika wakati wa dozi ipo na kwenye vyakula visivyofaa ipo pia. je inafaaa au haifai?

    pia sijaelewa vizuri kuhusu "mboga za majani zisizo na acid kama vile kabeji majani ya mboga, bamia. je vinafaa kutumiwa wakati wa dozi?

    ReplyDelete
  5. naumwa kichefuchefu sana na hata nikila pia naonba .

    ReplyDelete
  6. nasumbuliwa na tatizo hili miaka 10 sasa.linapoa siku za baridi na linakuwa kubwa siku za joto.nimepimwa india kwa enjoscopy wamesema tatizo hakuna vidonda ila ufuniko wa utumbo mpana uko mkubwa.matatizo ambayo nataka msaada wako dr rehab ni nikinywa chai tu baadae naona kichefu chefu.na jua likinipata na mwili ukitoa jasho hua nahisi kama kukosa nguvu.kizunguzungu.na mengine pilipili kama nikila utasema tumbo linawaka moto mpaka nile pentocid na macnesium.je nini tatizo dr naomba msaada wako

    ReplyDelete
  7. Tunashukuru kwa Muongozo wako,,nimeridhika na maelezo uliyotoa juu ya dalili..Kwani miongoni mwa hizo hunitokea..lakini bado sijapima vidonda..baadhi ya hali inayonitokea ni;naskia maumivu ubavuni mwa mbavu kama vile figo zinavuta,,chini ya kitovu naskia sana maumivu,,mara nyingine maumivu makali mgongoni kwenye uti wa mgongo,,mguu wangu unaishiwa nguvu,,vichomi kiunoni na pia kifuani katikati ya mbavu nikipaminya taratibu napata maumivu...Nilipiga ultra-sound ya kucheki figo lakini imeonekana sina tatizo..Hata hivyo bado napata maumivu sehemu mbalimbali tumboni,,mara leo ubavu huu,kesho ubavu mwingine yani yanabadilikabadilika..Naomba ushauri wako.Mimi ISSACK wa KIMARA

    ReplyDelete
  8. NASHUKURU SANA KWA MAELEZO YAKO MAZURI HIZO DALILI ULIZOZITAJA ZOTE NINAZO TUKIANZA NA KUPIMA KILA KITU BEI GANI DADA YANGU MIMI NIPO DAR

    ReplyDelete
  9. David wa DSM,bado sijapima ila dalili zote ninazo 90%...inawezekana kutumia dawa bila kwenda kupima,mana nimeangaika sana hosp ila siwaelewi kabisa.Ukienda huku wanakuambia hivi,huku hivi nadhani kwako nimepata soln,nadhani niana ulcers 100%,Je dawa zetu ni sh ngapi mbaka mgonjwa kupona?? naomba majibu @ 0714179982,Davidmachota@yahoo.com

    thnxxx

    ReplyDelete
  10. Upatikanaji WA dawa kwa wagonjwa tuliopo moshi unakuaje?
    David- Moshi Kilimanjaro;
    0658158369

    ReplyDelete
  11. Naipata wapi dawa nipo mbeya 0718282269

    ReplyDelete
    Replies
    1. Au naomba majibu kwa email hii zamdarashidi87@gmail.com

      Delete
  12. Mm pia dalili ninazo zote nitapataje dawa nipo muheza tanga

    ReplyDelete
  13. Dawa inapatikana VP nko mwanza

    ReplyDelete
  14. CALL ME TO THIS NO; 0764239920

    ReplyDelete
  15. Baccarat - Worrione
    Baccarat is a betting game 카지노사이트 similar to the worrione French งานออนไลน์ version of French Roulette. The basic concept is that each individual player must bet in order to win.

    ReplyDelete
  16. Casino Game For Sale by Hoyle - Filmfile Europe
    › casino-games › casino-games › casino-games › casino-games Casino Game for sale by Hoyle casino-roll.com on Filmfile Europe. Free https://jancasino.com/review/merit-casino/ shipping ventureberg.com/ for most nba매니아 countries, no download required. Check the deals we 출장안마 have.

    ReplyDelete